Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ukijua TV zimeingia lini bongo basi age ya huyu kijana hupati shida hapa ndipo napozidi jidhihirishia jibu langu ni sahii [emoji23][emoji23]True bro thou early years of my life nilikuwa village ingawa sikuwa katika umri wa kujitambua tu
Dahhhhh huyo hapana.. ni tatizo.. elfu 30.. kwa siku alikuwa analala na wangapi na bila shaka atakuwa mtu wa madini au usafirishaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwendokasi express na bajaji 2
Kuna muhimu kwa miezi 6 tu amelala na wanawake 30,000.
Wapi simuonei huyo.Anakuonea sana aise
Sent using OPPO Mobile Phone
Nilikuona ulipost picha yako selfika ww last week [emoji23][emoji23][emoji23]Ulimuona wapi wewe [emoji23][emoji23]
Aaah niliweka nywele na jicho tuNilikuona ulipost picha yako selfika ww last week [emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa anajisifia tu kwenye interview [emoji23][emoji23][emoji23] unazani anapata nn sasa.Anapata faida ganiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukijua TV zimeingia lini bongo basi age ya huyu kijana hupati shida hapa ndipo napozidi jidhihirishia jibu langu ni sahii [emoji23][emoji23]
Nilimuona selfika last week alipost picha yake [emoji23]Usitake kumshtua kijana vinci [emoji23][emoji23][emoji23].
Hafu hawa watu hua hawapati ukimwiAlikuwa anajisifia tu kwenye interview [emoji23][emoji23][emoji23] unazani anapata nn sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23] May Day sindio kila kitu kwako.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujasahau na may day .. sio mbali sana ujue bro
Unataka picha yake na data zake nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]... tuma maombi na kitambulisho chako cha nida pmNilimuona selfika last week alipost picha yake [emoji23]
Nafanya for funny sio kama ajila huwa napenda tu kuotea hiyo michezo nafuhia tu nikipatia.Tumia kujiingizia kipato sasa uwezo huo
Hahaaa acheni zenuUnataka picha yake na data zake nyingine [emoji23][emoji23][emoji23]... tuma maombi na kitambulisho chako cha nida pm
Mimi hya ni mbea by nature. I call it curiosity.Nafanya for funny sio kama ajila huwa napenda tu kuotea hiyo michezo nafuhia tu nikipatia.
Ni clip fulani hv ilipostiwa na TMZ last year mwana mmoja akifanya interview na redio 96.Dahhhhh huyo hapana.. ni tatizo.. elfu 30.. kwa siku alikuwa analala na wangapi na bila shaka atakuwa mtu wa madini au usafirishaji
[emoji23][emoji23][emoji23] najua one-day utamalizia mpaka uso kamili.Aaah niliweka nywele na jicho tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari zako zishakwisha ww umeshakuwa reviled.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daahhh nilibugi step walahiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. hapo sibishi umepatia mkuu maana mzee aliinunua zenji ..ulaaniwe
Duhhh watu wana jiweza [emoji23][emoji23]Ni clip fulani hv ilipostiwa na TMZ last year mwana mmoja akifanya interview na redio 96.
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee hilo sina uwakika nalo.Hafu hawa watu hua hawapati ukimwi
[emoji23][emoji23][emoji23] sawa bhanaa.. tusubiri may day[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] habari zako zishakwisha ww umeshakuwa reviled.