Aah kumbe ni 20 kuingia 21 bado tupo wakuu tuendelee na lindo
Haha unaongea kama vile ulikuwa kwenye kikao kile 😂😂
Wakati nahoji ilikuwa tar.19Leo sindio tarehe 20 amaa?
Bado tupo mama kipindi Cha rehema hiki
Jitahidi kesho usajiliNi kesho kumbe
Haha unaongea kama vile ulikuwa kwenye kikao kile [emoji23][emoji23]
Hii ishu haina tofauti na ving'amuzi serikali inatumia nguvu sana kwenye hili swala.Wakati nahoji ilikuwa tar.19
Bado hujasajili?Nimejaribu bado niko hewani
Sidhani maana population ya mjini ndio kubwa kushinda vijijini.
mapato lazima yapungue maana line zaidi ya mil 8 kesho zitakushut down.
[emoji16][emoji16] Umenikumbusha kipindi kile cha ving'amuzi na simu fekiHii ishu haina tofauti na ving'amuzi serikali inatumia nguvu sana kwenye hili swala.
What 8 mill sio ni 22 millions babu.mapato lazima yapungue maana line zaidi ya mil 8 kesho zitakushut down.
Na sera kubwa ya awamu hii ni kuongeza mapato kupitia kodi sasa sijui inakuwaje!
Sidhani maana population ya mjini ndio kubwa kushinda vijijini.
[emoji4][emoji4] watu walijua kama masihala kumbe mambo ndio kama hivi sasa hz ndio juhudi za awamu ya 5.[emoji16][emoji16] Umenikumbusha kipindi kile cha ving'amuzi na simu feki
mapato lazima yapungue maana line zaidi ya mil 8 kesho zitakushut down.
Na sera kubwa ya awamu hii ni kuongeza mapato kupitia kodi sasa sijui inakuwaje!
Mm naona kijijini ndio rahisi sana sasa mko wachache tofauti na mjini.Hivi umeona watu wanvyolalmika kuhusu suala hii ? nikifikiria tu kule kwetu kijijin naona hamna mwny namba kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm naona kijijini ndio rahisi sana sasa mko wachache tofauti na mjini.
Mkuu sijajua utaratibu wa mahali pengine ila huku kwetu wote tunaelekezwa wilayani kwaio tunajazana huko na ni wengi mnoMm naona kijijini ndio rahisi sana sasa mko wachache tofauti na mjini.