00:06
Hadi alfajiri
Muhenga huu wimbo waujua?Ndio waliimba unaimba..
Dada shao umekubali niliyosema ohh, kumbe ooh unayajua ya mjini. Ulinidanganya ooh wacha tamaa...
Halafu mbele kuna kiitikio wanaimba hivi
Eewee yesu (?) Ndio mimi usiyafuate ndio bwana, Ukiyaona ya mjiji yamjini.. upatacho ndio chako kidogo na faida....
Halafu kuna tumidundo tutamu kweli mbele yake. Niko nausikiliza ila hakuna jina la mwimbaji
Ndio naamka sasa hahaha
HahahaMuhenga huu wimbo waujua?
Kwa kweli tena jua la utosi
Y2k mwenyewe
[emoji16] [emoji16] [emoji16]00:06
Hadi alfajiri
Kila kitu kwa kiasi.. Ukiwa na raha full hapa duniani utasahau kusudi lako lile la "Kwanini Mungu ameniumba?
Dawa ya usingizi ni kulalaNaombeni dawa ya usingizi
Pole sana.. kaa bila kukapua kwa dakiks 2Naombeni dawa ya usingizi
Asante, naenda kulala sasaDawa ya usingizi ni kulala
Nimeweza.Pole sana.. kaa bila kukapua kwa dakiks 2