JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaaa Eti ni vibaya mwanaume kusikiliza taarabu
Kwa pwani naona kama ni utamaduni wao ila kwa sisi watu wa bara sio kawaida. Ila nadhani ni tulivyokuzwa tu kuamini taarabu ni ya kike ila kwa upande mwingine ni genre ya muziki kama mingine tu. Kama unainjoi kuiskiiza just do it, maisha ni mafupi bro kutafuta acceptance na approval za watu
 
Hata sijali.. nikiwa natamani kusikiliza chochote nasikiliza ilimradi muziki ndio kilevi changu
 
Hahahaaa Eti ni vibaya mwanaume kusikiliza taarabu
Af umenikumbusha enzi hizo nishawahi kukaa TMK sokota. Kuna ndugu yetu mmoja alikuwa ana beef na wenzie kwa sababu ya man flani. Asa walikuwa wakimuudhi anaenda kuwawekea taarabu moja inaitwa huliwezi bifu. Kwa frequency ya kuweka ule wimbo daily nikajikuta nimekariri hadi melodies na popote nikikutana nao huwa nammiss na life letu back in the days [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Sokota jirani na sugar ray?
 
Back
Top Bottom