I don't mean kule...namaanisha offline
Hahah...sasa ndio akili yakurudia eenh...poa
Hahah...sasa ndio akili yakurudia eenh...poa
Blue monday mkuu ..japo saa hii ni jumanne tayari
[emoji3][emoji3][emoji3] nimecheka sana, nilishasau hii hadithi umenikumbushaHadithi inamuhusu kijana mangasini alitumwa na mfalme akalete la la laaa ili amuoe mwanae
AiseePole mtoto wa juzi. Muhenga nikusimulie..
Kichuchu na simba wamkumbuka?
Asante wacha nimuungishe muuza kahawa pia nisije sinzia lindoniKazi na dawa
Kwema kabisa[emoji123]Lindoni kwema huku?
Asante mkuu
Acha ugomvi basi