Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Tungekuroga[emoji23]
Nalalaga na mfupa wa kitimoto, sirogeki.
Tungekuroga[emoji23]
Wivu muhimu sijafa mm[emoji38]Mbona unawivu lakini [emoji4][emoji4][emoji4]
ww sindio mwenye kabisa adui mkuu [emoji4][emoji4]Lala villain ni jambazi atakudanganya tu ukishtuka pamekucha
Miili yetu sisi watu weusi inatabia yakutanuka ukishakua mkubwa hilo ni must haliepukiki
[emoji23][emoji23] afadhali umeona..nimeaga saa sita mwanzoni, saa hii saa saba kasoro ila bado nipo. Huyu brother ana ajenda ya siriLala villain ni jambazi atakudanganya tu ukishtuka pamekucha
We acha tu watu wenye maumbo yakibantu wanahangaika sana kupunguza kilo tafadhali usituonee wivu ..donHahaha, natania bana.
Nimeona mnazungumzia diet sana
Ahsante.Ndrrio kula vyuku na mrija
[emoji23][emoji23][emoji23] Iraq kunabata sana mbona uwoga wako tu.Si ungenambia hata cape verde at least [emoji23][emoji23]. Iraq mzee
Ndrrio kula vyuku na mrija
Lala hata na furushi la bangi tungekupa fekero[emoji23] unajikuta unaamka unahangaika na kilo bbwNalalaga na mfupa wa kitimoto, sirogeki.
Hapana mm godmother nasambaza upendoww sindio mwenye kabisa adui mkuu [emoji4][emoji4]
Wacha nile tu jamani nikifa sivioni tena[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] umesahau kuwa that she is villain too but she covered with that fake id Goddess.[emoji23][emoji23] afadhali umeona..nimeaga saa sita mwanzoni, saa hii saa saba kasoro ila bado nipo. Huyu brother ana ajenda ya siri
We acha tu watu wenye maumbo yakibantu wanahangaika sana kupunguza kilo tafadhali usituonee wivu ..don
Huyu analimbwata[emoji38] analipaka kwenye viganja ili tusiache jibu msg zake[emoji23][emoji23] afadhali umeona..nimeaga saa sita mwanzoni, saa hii saa saba kasoro ila bado nipo. Huyu brother ana ajenda ya siri