Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,288
- 40,913
Mwaka mpya poa kabisa......ila ulete hela za mwaka jana nikubadilishie nikupe za mwaka huu.Chikwuemeka , Super Villain , Rowin, COSMOLOGIST, Aurora ,mama D,simiss ,Frankenstein , Iceberg9, Bradha
Niliemsahau atanisamehe
Niliwamiss sana na Heri ya mwaka mpya
Ooh! Asante kwa kunijuzaAurora ni latin origin
Which means dawn
A roman goddess of sunrise .
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeanza bwana eti na hutapata nakwambia utakula kwa macho[/QUOTE][emoji23][emoji23][emoji23] thubutu uwone ukimwaga mboga na mwaga ugali sasa.mchoyo huyo achana naye.
Hio hio bwana sisi watu wapole hatuna makuu mpaka uwe umefikia limit zako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sikiwahi jua upo capable kupata ban till i came across topic flani. Bila shaka ile ndo ilikusababishia ban
""E="Super Villain, post: 33995725, member: 531418"]
"
mchoyo huyo achana naye.
Ah ww tena boss naleta kibubu chote za bank waachie wenyeweMwaka mpya poa kabisa......ila ulete hela za mwaka jana nikubadilishie nikupe za mwaka huu.
We zilete nikubadilishie tu,maana utakuwa ulijisahau wakati unakula sikukuuAh ww tena boss naleta kibubu chote za bank waachie wenyewe
Usijali ila sijapokea zawad za mlimani bwanaWe zilete nikubadilishie tu,maana utakuwa ulijisahau wakati unakula sikukuu
Unatest mitambo ee mm kama yule mkorea narusha nyukria.Super Villain
Ww hushindwi kutupa na msufuria achilia mbali kumwaga mboga
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]tutarudi wote usijidai umesahau mara hiiHongeraa kwa kutoka kifungoni.. tunakuzawadia ban ya siku 4
Nipo nakusikiliza mremboningendako niko na mashida na ww
Sawa mm ntarusha jiwe kizaniUnatest mitambo ee mm kama yule mkorea narusha nyukria.
Zawadi ya kutoka milimani huko ni yule kuku wako unique,ovacado na ndiziUsijali ila sijapokea zawad za mlimani bwana
""E="Goddess, post: 33995760, member: 194652"]
Hio hio bwana sisi watu wapole hatuna makuu mpaka uwe umefikia limit zako
Haahahahaha bwana kitu cha mpunga hakuna?!Zawadi ya kutoka milimani huko ni yule kuku wako unique,ovacado na ndizi
Haitatokea kwangu tena...[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]tutarudi wote usijidai umesahau mara hii