JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuingia 2017 nilikua na ugomvi na demu wangu anaongea na mchepuko wake mi nipo nimelala.

Kuingia 2018 nilikua namuendesha mtu Uber ikatukuta kule Tabata bima.

Kuingia 2019 nilikua nimetoka kupiga mastabesheni nimelala.

Kuingia 2020 nipo nimechill kimwili nacheki TV nina njaa kama mbwa maji hayajatoka nyumba chafu knm.
 
Back
Top Bottom