google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
Tunaenda nacho taratibu mama naniiiKiswahili kigumu wakati mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaenda nacho taratibu mama naniiiKiswahili kigumu wakati mwingine
Kweli mtu mzima akilia jua kuna jambo sio bure
Ugumu wa maisha umetufikisha mbalihili nimelisahau mpaka nitulize kichwa vizuri nirudishe enzi za primary
Chanda chema huvishwa pete.... Yawezekana ni kidole.Chanda ndio kidole?
Sio yawezekana ndio jibu hiloChanda chema huvishwa pete.... Yawezekana ni kidole.
Sent using OPPO Mobile Phone
Ahsante mkuu ukaguzi unaendelea kwa umakinikaribu mkuu kagua lindo vizuri
Sawa sawa.
kabisa mkuu
Kwa maisha haya usingizi utoke wapi ? Usingizi nao adimu kama bikra kwa wanafunzi chini ya miaka 18
Mama nanii au ndo mida ya morning glory ???Mjep nakukabidhi silaha...tukutane baadae jioni.