google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,872
pia fungulia mwaka kwa usiku wa leo 31Funga mwaka sio?
yeah kabisa wala sikuachii peke yakoEeehhh....utanisaidia....
yeah kabisa wala sikuachii peke yako
Stress za life mbaya sana, hapa NO usingizi anzia jana (11:59 PM) hadi leo mida hii
Distributed Denial-of-Service
kama chanda na [emoji183]Pamoja sana
Ahsante sana.Poleee sana
pole mkuu ndio ukubwa huoStress za life mbaya sana, hapa NO usingizi anzia jana (11:59 PM) hadi leo mida hii
Distributed Denial-of-Service
Karibu.. karibu kamanda
kama chanda na [emoji183]
karibu mkuu kagua lindo vizuri
Kweli kabisa.pole mkuu ndio ukubwa huo
Huwezi amini pesa na usingizi vimekuwa bidhaa adimu kama bikraKweli kabisa.
Muda wote najipooza na JF lakini wapiii..
Maisha yatanimaliza wallah wabilah
Distributed Denial-of-Service
hili nimelisahau mpaka nitulize kichwa vizuri nirudishe enzi za primaryChanda ndio kidole?