And pole pia broNi kweli mkuu wengi huwa tunahukumu pasi na kujua kwa nini huyo mtu yuko hivyo, wengi tuna/wana pitia magumu ni vile watu wengine huwa hawaelewi kumchukulia mtu alivyo.
Sent using OPPO Mobile Phone
Kabisa mkuu, hayo mambo lazima yakukoseshe amani
Kaabisa na kwa upande wangu nishabadili username mara kibao ili nipate wa kunifariji tu ila yote yana mwisho[emoji28]True sema inabidi upate emotional support kwa mtu unayeweza kumuamini so baadhi huwa wanachat jf maana ID hazijulikani hivyo inakuwa safe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko pamoja mkuu.
Baba wacha uongo[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Then utakuwa serious sana mkuu.. hit my PM nikupe neno la kiroho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaabisa na kwa upande wangu nishabadili username mara kibao ili nipate wa kunifariji tu ila yote yana mwisho[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Pamoja mkuu naomba nifanye hivyo asubuhi maana kwa sasa muda umekwenda na ninaweza nisilielewe kama inavyokusudiwa, au vipi?Then utakuwa serious sana mkuu.. hit my PM nikupe neno la kiroho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Then utakuwa serious sana mkuu.. hit my PM nikupe neno la kiroho [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia naangusha hapa maana hii league ishakuwa ngumu bora nilale [emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja mkuu naomba nifanye hivyo asubuhi maana kwa sasa muda umekwenda na ninaweza nisilielewe kama inavyokusudiwa, au vipi?
Sent using OPPO Mobile Phone
Kwa sasa uko sawa 03:59Saasa uongo uko wapi hapo?
Mapumziko memaMimi pia naangusha hapa maana hii league ishakuwa ngumu bora nilale [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku mwema mkuu.Mimi pia naangusha hapa maana hii league ishakuwa ngumu bora nilale [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa saa za Afrika ya Mashariki04:00
Upumzike, au ndio uniform zinakuweka macho.Mapumziko mema
Ndio na sasa04:03Kwa saa za Afrika ya Mashariki