Wapo wanaolinda wake wasitoroke kwenda kwa house boy au jirani pia wapo walinda mipaka japo wao ni 0.00001%[emoji28]Kuna watu wana upepo humu [emoji23][emoji23][emoji23]. Muda mwingine nahisi wapo lindo halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Iko hv ileshow haikumilikiwa na Netflix sasa wale majamaa waliokuwa wanadhamini hiyo show wameshindwa kuwalipa character wa humo, character wa humo walitaka hela ndefu kuendelea kuicheza hiyo series sasa watu wanawaomba Netflix wanunue hiyo show iliiendelee.
Ni nzuri jaribu kuitafutaHuwezi Amini..sijawahi itazama. [emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Weka Alarm ikuamshe saa 4:58[emoji28]Sijui lini ntafunga lindo.hadi muda huu watu mpo macho [emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ni fupi sanaOohhh kumbe? Acha niifuatilie...by the time nafika mwisho wanaweza kubadili mawazo wakaiendeleza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole mkuu we rudi tu kwa namna nyingine, kuna muda ile ni sehemu ya kupunguzia stress.Umejuaje mzee [emoji38][emoji38][emoji38] nimeharibu mm dah.
Mbona ni fupi sana
season 1 episode 6
season 2 episode 11
Season 3 episode 16
Wewe hushindwi mkuu [emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] mm niliwahi funga maramoja humu tu.
Uniform[emoji28]Nimecheka kwa sauti ....Asanteeee
Inawezekana lakini.
Kama mimi hapa na uniform zangu[emoji854][emoji854][emoji854]
[emoji38][emoji38][emoji38] huwa hata siaminigi kama ni mm muda mwingine dah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pole mkuu we rudi tu kwa namna nyingine, kuna muda ile ni sehemu ya kupunguzia stress.
Sent using OPPO Mobile Phone
Wp nani hivi [emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa waKGNimecheka kwa sauti ....Asanteeee
Inawezekana lakini.
Kama mimi hapa na uniform zangu[emoji854][emoji854][emoji854]
Ni kweli lakini ukiona kila siku wa mwisho darasani bora uzame na nondo [emoji23][emoji23]Khaa....atakuwa hajafanikisha maana ya lindo
Nililala njiani gari ilikuwa nimbovu unategemea nn [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapo wanaolinda wake wasitoroke kwenda kwa house boy au jirani pia wapo walinda mipaka japo wao ni 0.00001%[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Uniform[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
We rudi tu ila ukawe na akili sasa, mimi nilijoin 2014 na mpaka leo sijawahi juta kuwepo pale ndani ni kuishi nao kwa akili tu[emoji28] japo sijawahi post zaidi ya kuretweet na kulike tu.[emoji38][emoji38][emoji38] huwa hata siaminigi kama ni mm muda mwingine dah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjinga ww unenikumbusha mbali ww [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni kweli lakini ukiona kila siku wa mwisho darasani bora uzame na nondo [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo zuri kiukweli maana haiwezekani kila nikijaribu nakuta watu wanazungumzia series. Saa nane ndo wanaanza kuangalia na uchawi wa series huwezi kuangalia episode moja. Nishafeli [emoji23][emoji23]Weka Alarm ikuamshe saa 4:58[emoji28]
Sent using OPPO Mobile Phone
Hongera sana na kazi njema[emoji123]Eeehh...si niko kazini hapa