utipie hapa tuusikie mie pia nyimbo za Congo ni moja ya ulevi wangu japo napenda miziki mingi sana
Gospel nzr za NigeriaNyimbo za congo za dini sijawahai hta kudownload nilikuwa naona manjilinji .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] sipendagi mm uko busy kutafuta kitu unakuta unapelekwa kwenye Ads
Nilikuambia unakumbuka?[emoji2][emoji2][emoji2]
Nimekulia maisha hayo monie, afternoon and evening basi.
Opera ina option hiyo ndio raha yake lakini kuna baadhi ya web aifungui ndio tatizo lake lingine.
Nakumbuka broh, kwan ile avatar ndio iliyochange mzee?Nilikuambia unakumbuka?
Sio ileNakumbuka broh, kwan ile avatar ndio iliyochange mzee?
Wako vzr sana
Ni ipi brohSio ile
Opera ina option hiyo ndio raha yake lakini kuna baadhi ya web aifungui ndio tatizo lake lingine.
Mchumba mmoja hv.Ni ipi broh
Kumbe wenzangu mko majuu tu..Nimekulia maisha hayo monie, afternoon and evening basi.
Old skull sana hizo ngoma.Daah nimeweka playlist za Munisi Malebo tu.. hapa nasikiliza wimbo wa Namlilia Malebo..
Sever imezidiwa hivyo.Imekuaje hapa.....
Naona Avatar 2 tofauti kwako?View attachment 1307837
Anza na Unchangeable naupenda sanaGospel nzr za Nigeria
Baba alikua anazisikiliza mwishoni mwa miaka ya 90.. ndio nilipoijuliaOld skull sana hizo ngoma.