[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ntakupeleka kkoo au tandika uale mi halfcake ya road[emoji23]Basi lazima niifuate usiniuze sasa nitailia na vile vitafunywa vyetu vya uswailini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mm ulinifanyia hvyo jana[emoji23]ukapotea mazimaaa
Hata mm ulinifanyia hvyo jana[emoji23]ukapotea mazimaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uwongo we mwanamke.
Pole
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uwongo we mwanamke.
[emoji23][emoji23][emoji23] ujanipata hapo bora nile miogo ya buguruni ulivyo sema hiyo story ya halfcake Umenikumbusha ujinga moja sana dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ntakupeleka kkoo au tandika uale mi halfcake ya road[emoji23]
Alikuacha kwenye mataa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mm ulinifanyia hvyo jana[emoji23]ukapotea mazimaaa
Umelala saiz ndio usingizi umekata sasa?
Salama za kwako
Umelala saiz ndio usingizi umekata sasa?
Hahahahaha mm nazionaga tu nakita wanakula wamesmama na juice zao fresh[emoji23][emoji23][emoji23] ujanipata hapo bora nile miogo ya buguruni ulivyo sema hiyo story ya halfcake Umenikumbusha ujinga moja sana dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama za kwako
Habar ya weekdays
Oky leo unakesha ss[emoji4][emoji4][emoji4]au umechoka
Nimeotea sahii kumbe.
Mwangu alikula mahindi ya buguruni sheli pale sasa siku hiyo nimetokea kkoo namsubiria anichukue na gari stand ya chanika nikaona ninunue muhindi pale nikawa nakula ghafla akaja kunichukua nikamwambia chukua muhindi akaniambia hayo mahindi ya buguruni sili mm aliaharisha hatari aliniambia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha mm nazionaga tu nakita wanakula wamesmama na juice zao fresh