JamiiForums Usiku wa manane

Aah hiyo list ni tofauti kabisa na mm mapenzi kwenye series zitaki kabisa nataka mapenzi yale yakizungu fasta fasta mtu kamaliza kaingia kwenye mission au yupo kwenye mission kama wanangu was Strike Back yupo kwenye mission namapenzi yapo humo humo.
My list yani

Espiode zikitokaga naachana na movie kidogoView attachment 1305264
 
Kausha hizo ndio zilizonijengea msingi wakupenda series [emoji4][emoji4] Jumong haijawahi kuisha utamu kwangu.
Jumong hatar mm sipendi korean hizi za kawaida napenda historical

Kama hio jumong ukileta time travel sijui kazliwa mjini kafa kafufukia maisha ya zaman siangalii naona unanitania
 
Aah hiyo list ni tofauti kabisa na mm mapenzi kwenye series zitaki kabisa nataka mapenzi yale yakizungu fasta fasta mtu kamaliza kaingia kwenye mission au yupo kwenye mission kama wanangu was Strike Back yupo kwenye mission namapenzi yapo humo humo.
Hamna mapenzi humo ww action na thriller na sci-fi drama kidogo sana
 
Jumong hatar mm sipendi korean hizi za kawaida napenda historical

Kama hio jumong ukileta time travel sijui kazliwa mjini kafa kafufukia maisha ya zaman siangalii naona unanitania
mm mwenye huwa naangalia hizo za historical Drama au Irish hv muda wote kinanuka tu Chuno slave hunter, Bridal mask nk..
 
Kama hii nayoangalia [emoji38][emoji38][emoji38] nikisanga bb kamuuwa mumewe babu kisa kaingia sehemu ya siri ambayo hakutakiwa kuiyona mtu yeyote aliniacha hoi nikajiuliza muda wote wameishi toka wako vijana mpaka wamekuwa wazee inamaana alikuwa ampendi tu nikasema bb bala huyu [emoji4][emoji91]
 
Angalia ulale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…