Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Pole sana hommie.Christmas mbaya zaidi toka niijue dunia ni hii.. maana nimeshikwa na ugonjwa unaonitesa zaidi pindi nikiupata..
Hapa niko njiani nimetoka kanisani lakini hata misa sijaifurahia maana muda mwingi nilikua nje tu naugulia maumivu.
Kumbe na ww humu upo [emoji4]God mother
Griselda Blanco
Naongelea jani kutoka mti wa xmassNinamauwa tu hii sio siku ya matawi ww.
Mm nimo ila sivumi[emoji38]Kumbe na ww humu upo [emoji4]
Don PabloMm nimo ila sivumi[emoji38]
Ngoja tuone asee...Pole sana mungu atakusimamia upate tahfif
Sina jani mm wala hata vile vitaa vya kuwaka waka sina nipo tu naanda tumbo kwajili ya kutia hasara mialiko ya watu kesho.Naongelea jani kutoka mti wa xmass
Ahsante sana mi bloodPole sana hommie.
Piga ibada au huamini kwenye miracle?Ahsante sana mi blood
Achana na kina elchapo guzman sijui suarez gonezDon Pablo
Naamini ila kaugonjwa kananifanya nishimdwe ata kuinamisha kichwa chini ili niombee.. Ata Eucharist sijapokea maana nisingeweza inamaPiga ibada au huamini kwenye miracle?
Kesho mbali mm nakula hapa karibuSina jani mm wala hata vile vitaa vya kuwaka waka sina nipo tu naanda tumbo kwajili ya kutia hasara mialiko ya watu kesho.
Aaah hayo sio mambo sasaKesho mbali mm nakula hapa karibu
Dah kweli ni serious issue.Naamini ila kaugonjwa kananifanya nishimdwe ata kuinamisha kichwa chini ili niombee.. Ata Eucharist sijapokea maana nisingeweza inama
KwannAaah hayo sio mambo sasa
Uchoyo unaleta huo.Kwann
Pole sanaChristmas mbaya zaidi toka niijue dunia ni hii.. maana nimeshikwa na ugonjwa unaonitesa zaidi pindi nikiupata..
Hapa niko njiani nimetoka kanisani lakini hata misa sijaifurahia maana muda mwingi nilikua nje tu naugulia maumivu.
Hahahaaa kweli?!