JamiiForums Usiku wa manane
Bora awe na roho mbaya...ntamshauri ntamuombea itabadilika sura

carnte himself
Hujawahi kukutana na mtu mwenye roho mbaya wewe....usiombe kukutwa na hiyo kadhia,utajuta maisha yako yote.

Sura mbaya atafanyiwa upasuaji iwe nzuri
 
Hujawahi kukutana na mtu mwenye roho mbaya wewe....usiombe kukutwa na hiyo kadhia,utajuta maisha yako yote.

Sura mbaya atafanyiwa upasuaji iwe nzuri
Acha woga...kwani roho mbaya anakuwa amekufunga kamba

carnte himself
 
Hapana sizionagi mpk una siku nilikuita nkaon kimy nkajua we ushatekwaa au mamaa alikwepo nn?
kwa ni kiwepo humu anakuaga wapi?

Nikiitwa jukwaani hua sisikii labda pm na huko itachukua kamuda kidogo sijui kwa nini?
 
Back
Top Bottom