Ronnycinchy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2011
- 2,086
- 7,121
Sawa sawa.Hahaha, kesho nanyoosha.
Najua nyie xmas hamna siku moja tu kwamwaka balaa lenu zito.
Asante leo nipo lindo hospital [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anastress za kulock gari kwanza muache[emoji23][emoji23][emoji23]
Amia kwetu sasa sawa.
Hata ingenyesha masaaa mm nipo kama mlimani chini kuna bonde baridi lazimaBaridi kwa mvua ya siku 2 tu.
Umeshanunuliwa nguo za sikukuu basi unatuletea vulugu huku.Anastress za kulock gari kwanza muache[emoji23][emoji23][emoji23]
Umewahi muda bado mbichiSijachelewa eehh?
Upo kitonga au ππππHata ingenyesha masaaa mm nipo kama mlimani chini kuna bonde baridi lazima
Yes
Wapi hapo nije chap?Uje nikupe kitanda upumzike
Umewahi nuda bado mbichi