Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,440
Ngoja niishushe muda huu pamoja na hyo parasie...Yup ni nzuri mm nneipata hd majuzi ndo wametoa kwa sites
Itafute 6 ungerground na code 8
Ngoja niishushe muda huu pamoja na hyo parasie...Yup ni nzuri mm nneipata hd majuzi ndo wametoa kwa sites
Muvi kama Saw..Hostel..I spit on yourgrave..Wrong turn and the likes mimi diwez angalia asee...Hahah upo kama mimi aisee,ile night comes for us sio kabsa,,kuna nyingine inaitwa The Raid
We acha tu dada wkend ile ilienda njema sana.Nimemiss kelele za fiesta dada
Ati,!Valah Morghulis
Maana yake all men must die..Ati,!
Hahaha aisee ijirudieWe acha tu dada wkend ile ilienda njema sana.
Burudani ilitufikia tulipo.
Ni kali?! Ngoja ni pate trailer hapaNgoja niishushe muda huu pamoja na hyo parasie...
Itafute 6 ungerground na code 8
Uiii haha bapenda sema horror za akuhizi haazitishi kuna kipindi nikua nafatilia kitu kinaitwa ''Fear files'' enzi hizo ni noma aiseeMuvi kama Saw..Hostel..I spit on yourgrave..Wrong turn and the likes mimi diwez angalia asee...
Zamani nilikua jasiri ila now daah. Siwezi
Kuhusu wrong turn ile kwangu ni best movie hasa hizi za horror,huwa nampenda sana babu na vile viatu vyake + zile gari zakeMuvi kama Saw..Hostel..I spit on yourgrave..Wrong turn and the likes mimi diwez angalia asee...
Zamani nilikua jasiri ila now daah. Siwezi

Yes,zipo vizuri sana,utanipa mrejeshoNi kali?! Ngoja ni pate trailer hapa
Mimi nishashindwa.. Watch if you dare na Texas chainsaw nimezifuta jana..Uiii haha bapenda sema horror za akuhizi haazitishi kuna kipindi nikua nafatilia kitu kinaitwa ''Fear files'' enzi hizo ni noma aisee
Hii nimejaribu ishuhsa jana bwana siipati 6 undergroungd si unajua ndo imetoka leo labda nitafte cinema wanakoonyesha nizamieNgoja niishushe muda huu pamoja na hyo parasie...
Itafute 6 ungerground na code 8
Code 8 sikua naifahamu nayo imetoka leo ndo kwanza ipo cinema nitazipata januaryYes,zipo vizuri sana,utanipa mrejesho
Hahaha mm naaangalia ndo bapenda yani hizi drama na romance zinaboreMimi nishashindwa.. Watch if you dare na Texas chainsaw nimezifuta jana..
Kama una torrent,kazi kwakoHii nimejaribu ishuhsa jana bwana siipati 6 undergroungd si unajua ndo imetoka leo labda nitafte cinema wanakoonyesha nizamie
KabisaHahaha aisee ijirudie
Ni Hd au copy ya cinema
Hii link kuipeleka kwenyw pc ndo shida ss natumia simu hapa
Code 8 hii hapaCode 8 sikua naifahamu nayo imetoka leo ndo kwanza ipo cinema nitazipata january
Yani hapa nasubiri frozen na cats iliotoka jana
Dah jamaniiiiiiCode 8 hii hapa