Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
The matrixGood news ni kwamba May 21 mwaka 2021 Keanu Reeves ataachia muvi mbili kwa pamoja..ambazo zitakua ni...
- John Wick Chapter 4
- Matrix part 4
Yeye anaongoza tu story kuwa kwenye movie adaptation labda ashiriki kuandika scripts. Though sijui kama nae hua anatungaJames Cameron anastory za kufikirika na kusisimua zaidi.
Kama kuna mtu anagugo kwa vitu vidogo hivi basi hana haja ya kumiliki ubongo...Mnashindana ku google tu laleni
Ongoza njia nakuja baba ndio wamwisho kulala.Mnashindana ku google tu laleni
Steven Spielberg_ Jurassic pack ndo anayeongoza mpaka sasa akifuatiwa na Huyo wa endgamePoleeee sana..Ukitaja ma-Director walitengeneza muvi zenye mkwanja mingi
- Antony and Joe Rusdo (A.Endgame)
- James Cameron (Titanic &Avatar)
- J.J.Abrams (Star war. Force Awakens)
Trela bado..Afu sijaangalia trela la Black widowThe matrix
Matrix Reloaded
Matrix Revolution
wamempumzisha sana Neo sijaiyona Trailer ilanataka niangaile saiz.
Kwakua hao madirector wanakaa mtaani kwenu ni rahisi kuwajua?! [emoji848]Kama kuna mtu anagugo kwa vitu vidogo hivi basi hana haja ya kumiliki ubongo...
Sio kweli Avanger Endgame ndio muvi iliyoingiza pesa ndefu kuliko muvi yoyote ile duniani...Baada ya kumtoa AvatarSteven Spielberg_ Jurassic pack ndo anayeongoza mpaka sasa
Hahahaha tunagawana hatugawaniOngoza njia nakuja baba ndio wamwisho kulala.
Nimefanya mengi Shule ila sikuwahi cheat..Kwakua hao madirector wanakaa mtaani kwenu ni rahisi kuwajua?! [emoji848]
Ameingiza dola ngapi box officeSio kweli Avanger Endgame ndio muvi iliyoingiza pesa ndefu kuliko muvi yoyote ile duniani...Baada ya kumtoa Avatar
Kwahyo hizo habari za keanu reaves unaziota au black widow?!Nimefanya mengi Shule ila sikuwahi cheat..
Tunaongea kwenye ile Harry Potter the chamber of secret ππππHahahaha tunagawana hatugawani
Nasubiri hesabu isofanana na ya google hapaAmeingiza dola ngapi box office
[emoji23][emoji23][emoji23]damnTunaongea kwenye ile Harry Potter the chamber of secret [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Avatar kweli ndio inashikilia lakini hiyo Endgame sijui maana sikufuatilia ilanaona Joker ndio itavunja record ya Avatar.Sio kweli Avanger Endgame ndio muvi iliyoingiza pesa ndefu kuliko muvi yoyote ile duniani...Baada ya kumtoa Avatar
Nitakupa mm kutoka Bing sasa sio huko google.Nasubiri hesabu isofanana na ya google hapa
πππ mzee battery low nashangaa the dark night haipo hapo π’
[emoji23] zote sini engine mzeeNitakupa mm kutoka Bing sasa sio huko google.