JamiiForums Usiku wa manane

Niko mpweke ugenini jf ndio itaniondolea upweke naruhusu niulizwe swali lolote linalonihusu nitasema kweli tupu Kama halitakuwa na madhara ya utambulisho wangu ila nitajibu nusu au robo ya ukweli Kama nikilihisi sio swali salama karibuni
 
Nawaombea wale wote wanao mkejeli mwalimu JK Nyerere kwa kukiuka taratibu ili Mungu awarejeshe kwenye msitari.
 
Na mimi naomba connection ili nibadilishe hii I'd maana inanikosesha mengi kwa wengi kudhani mimi ni ME[emoji6]
Hahahaaa hata mm nilikua najua ni me.. wasiliana na Uongozi
Kumbe ww Ke?[emoji3]
[emoji15] u have fooled us all, Ila bila shaka sasa huko pm Mambo ni[emoji91]
Kuna mwanamke mwenzio pia alinambia we ni ME
Leo ndo nimejua.. Why were you behaving like a man?
[emoji848][emoji1324][emoji2358][emoji15] Ama kweli hili jina linanikosesha bahati katika hii jamii![emoji24]
 
Niko mpweke ugenini jf ndio itaniondolea upweke naruhusu niulizwe swali lolote linalonihusu nitasema kweli tupu Kama halitakuwa na madhara ya utambulisho wangu ila nitajibu nusu au robo ya ukweli Kama nikilihisi sio swali salama karibuni
Umeenda kufanya nini ugenini?
Ni wapi huko uliko?
Utakaa huko kwa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…