Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,176
- 100,780
Huyo kweli demu wako, mfuate huko huko clubdemu wangu aliniaga anaenda kwa rafiki yake mchana saa iv ananitumia sms anasema anaenda nae club..nimemwambia harud nyumban asiende club kakataa anasema nimsamehe tu atarud kesho
usingizi wote umekata hapa
Huyo kweli demu wako, mfuate huko huko club
demu wangu aliniaga anaenda kwa rafiki yake mchana saa iv ananitumia sms anasema anaenda nae club..nimemwambia harud nyumban asiende club kakataa anasema nimsamehe tu atarud kesho
usingizi wote umekata hapa
Safi The Butcher, umeamkaje?Naam mambo financial
Milele amina.. Ajikwezaye ataadhiliwa na ajishushae atakwezwa..!Haya Twendeni kanisani
Dominika ya 30, Mwaka C
Somo la kwanza
Ybs 35 : 12-14, 16-19
Tumsifu Yesu ,Kristo
Done.. though hukua specificZa kitambo....?
Done.. though hukua specific
Ok nimefanya.. ngoja nitakukumbuka kwenye Rosali usikuVyovyote nakuaminia
Salama mkuu vp Gobole umebebaNafungua lindo. Habari zenu waungwana ?