ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
Kwa hali ya kukosa kosa usingizi kama hivi unaweza kuuza kitanda ukawa unalala kwenye sofa [emoji18]
Kwema mdau ila bado niko usingizini mpaka ile mida yetu....Kwema wadau
Kwema mdau ila bado niko usingizini mpaka ile mida yetu....
Nilikuwa nakusubiri wewe ujue ?1:04 am
Nimechelewa leo
Nafurahi kukuona tu.Ndiyo nimefika ivyo.
Nipe khabari
Lindo lindoni
Tupo pamoja
Karibu juice