Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Musa si mrefu naachia lindo
Nakutafuta sana.Abeee
Huku ndio huku huku.Huku ndiko wapi?
Huku ndio huku huku.
Karibu sana,bila shaka wewe ni mgeni,nimeona kamba mguuni kwako.Anhaa
Karibu sana,bila shaka wewe ni mgeni,nimeona kamba mguuni kwako.
Bila shaka huoni ninachokiona mimi kwako.Aksante. Sina hiyo Kamba lakini.
Ronny2010 za miaka mingi ?
Ukiwemo wewe.Mabinti wote unawafahamu weye?
Ni sawa kuona zaidiBila shaka huoni ninachokiona mimi kwako.
Hapana, tushApishana kwani?Ukiwemo wewe.
Kwanza unanikumbuka ?
Umekubali hilo ?!Ni sawa kuona zaidi