dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Yeye ndio mtawala sasa wa kisiwa hicho na ukileta swagga siczo eleweka anaweza kukuharibia
Yeye ndio mtawala sasa wa kisiwa hicho na ukileta swagga siczo eleweka anaweza kukuharibia
Jirani kipenzi nakusalimiaNawasalimia nyote
Salama kabisa jirani yangu, ngoja nipite nitarudi baadaeJirani kipenzi nakusalimia





Sawa jirani utaniwakilisha ukirudi.Salama kabisa jirani yangu, ngoja nipite nitarudi baadae![]()

Muda ulikuwa badoWap leo we popo umepata mchuchu nn wa kukupa joto usik huu
, mchuchu
hapana mchuchu wala nini.Ningepata mchuchu mbona ningefurahi.Tupo
Upo mkuuu?
Nipo but leo inabidi nilale kwani nilitimiza masaa 42 bila kulala, nimelala kwenye saa 6 na kuamka saa 8, but bora nipumzike leoUpo mkuuu?