JamiiForums Usiku wa manane
Nalala
Screenshot_20190830_230652_com.whatsapp.jpeg
 
Ukiwa unaendesha chombo cha usafiri...unaweza ukafika sehemu chombo kikazima kutokana na matatizo ya kiufundi;ni hivyo hivyo hata kwa binadamu na viumbe vingine wanaweza kupenda kulala sana baadaye wakajikuta injini ya miili yao inazima ghafla na kujikuta wameingia mbinguni.........kwa hiyo wakuu nawashauri msilale,lindeni kwa afya ya miili yenu.
 
Back
Top Bottom