pole chief...vaa soksiNani ana dawa ya M'mbu?? Wanang'ata ova nyuki
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Njema za huko kwako?
Nikajua utanipea dawa. ...
Khaaa acha tuendelee na Lindo.
acha tu yani, huyu mwenzangu sijui ndio kashuka leo na gari moshi....nimekuta kaloweka godoro mchana, ikabidi nimsaidie tu kulianika, bado linavuja maji huko nje....[emoji134][emoji134]Magodoro huwa hatufui, ndio mmetoka leo kolomije nini?
Niitoe wapi [emoji16]Nikajua utanipea dawa. ...
Khaaa acha tuendelee na Lindo.