MbayaSijambo dear, za wewe?
Don Clericuzio uliniambia kuwa leo huwa mnakuwa wengi haya mko wapi sasa
Nini mbaya bestMbaya
Kumbe walinzi wa siku hizi ni barafu?[emoji848]Walinzi wameyeyuka!
Kweli mgumu, pole mkuu.Usiku mgumu , leo nilishabikia vita kapigwa sasa hivi nimetoka kuangalia chama langu Man U naye kapigwa
Kumbe walinzi wa siku hizi ni barafu?[emoji848]
Hii game inachezwa sahivi, super sport namba ngapi?View attachment 1047318
UFC inaniweka lindoni.
Dah...nami ndiyio narejea...mlonge umeisha mapema leo...Asaaalaamaleikum za nguvu wote mliopo lindo ndio nimewasili.