JamiiForums Usiku wa manane

Mwanamke ukipaweka nyumbani kwetu hivi, kwa kweli sibanduki nyumbani breakfast, lunch and dinner nitazilia nyumbani hata mchepuko sitakua nayo

Super hero daddy
 
Napenda denzel sana movie zake ni za kufikiria si ka za Rambo ana kill 30 pple n above akiwa pekee ake haha pia mi hupenda conspiracies like alot,they make my days,juu napenda movie ya kufikiria si ku shoot watu tu[emoji1] [emoji16]
Huyu mtu ni hatari sana mule kwenye EQUALISER kafanya vitu sio vya kitoto

Super hero daddy
 
Huyu mtu ni hatari sana muke kwenye EQUALISER kafanya vitu sio vya kitoto

Super hero daddy
Saka series inajiita( the following,lost,prison break sn 1-6,Missing,the gates )ni za kitambo kiasi ziko mob but sai nika sikumbuki,niko sure ukiona hizo utabambika tu sana,ziko very Toxic hata si 9 but Toxic 10 hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…