Ndiye binadamu mzee kuliko wote kwa sasa. Miaka 116. Bbade nakuombea uje uvunje rekodi hii [emoji1545][emoji1545][emoji1545]View attachment 1043506
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kujifarijiHana mume yule .....!
Unawanga kwa kuchukua nywele zetuHapahapa. Niliopanga kuwawangia leo naona wote wako macho
[emoji16] [emoji16] [emoji16]Nashukuru sana kwa kunitakia maisha mema....ila Naomba ufike huko wewe unipe mrejesho
Ukiwa kazini unaumiza kichwa, ukirudi nyumbani unaumiza kichwa, ukiangalia mpira bado hauko salama kwenye suala hilo hadi kwenye muvi mnataka kuumiza vichwa....ndio maana wanaume mnakufa mapema mnatuacha wajane walahSana mkuu.... Napenda movie za kuumiza vichwa... Kama bone collector denzo Washington tho ni ya muda kidogo
Super hero daddy
Eee nataka nikawarogepoUnawanga kwa kuchukua nywele zetu
Super hero daddy
Akija yule mrembo mnistue,waungwana ....!
Endelea kujifariji
Mimi nina yesu utakoma utakutana na moto ukinilindaEee nataka nikawarogepo
Nimefika....
Umepotea siku hizi. ....
Kwema lakini. ...
Nimefika....
Umepotea siku hizi. ....
Kwema lakini. ...
Wakati jana nimekuja nimechukua nywele nipo nazifanyia kaziMimi nina yesu utakoma utakutana na moto ukinilinda
Super hero daddy
Si kwema hali mbaya,kama afanyavyo sifuri kisirani.
hio ni ka sijaikiche,na umeona ile enye Denzel washington ni pilot lakini ana abuse drugs mbaya (coke)Sana mkuu.... Napenda movie za kuumiza vichwa... Kama bone collector denzo Washington tho ni ya muda kidogo
Super hero daddy
Kuumiza kichwa huongeza ubunifu, akili huchangamka, na maisha yanaenda.... Nyie hamtaki wanaume tufe haraka ili mrithi mali [emoji23][emoji23]Ukiwa kazini unaumiza kichwa, ukirudi nyumbani unaumiza kichwa, ukiangalia mpira bado hauko salama kwenye suala hilo hadi kwenye muvi mnataka kuumiza vichwa....ndio maana wanaume mnakufa mapema mnatuacha wajane walah
Kwema kabisa, hofu kwako.
Pole sana. ...haya nakuja kukutibu
Hiyo bado mkuu ngoja niitafutehio ni ka sijaikiche,na umeona ile enye Denzel washington ni pilot lakini ana abuse drugs mbaya (coke)