JamiiForums Usiku wa manane

Muda WA kufunga lindo umekaribia.. Mtu mmoja atufungie lindo kwa Sala/Duwaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...
Eeeh baba...uwabariki wote waliokesha...kwani wengi tumefanya bila mapenzi yetu....wapweke (tupe nguvu) ...wenye kazi zaidi ya 1(tupe ridhiko)...homeless (tupe angalau kaghetto)... walinzi(tupe vyeo nasi tulindwe).....wabeba box (turudishe nyumbani tufurahie)....nk nk
Eee baba wewe ndiye mwenye nguvu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 

Amyn.. Umeua hapo kwenye 'sisi walinzi' , hahaha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaameen....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…