Yule jamaa wa Kenya akija tu na kuanza mambo yake Mr. Miller hatakawia kujitokeza. Kwema lakini?
Huu ni wa muhimu na ni lazima uzingatiwe [emoji16][emoji16][emoji16]Sio kila usia unafanyiwa kazi.
Kuna wanawake wazuri sana hii dunia.Nani kama mama?
View attachment 1026897
Hadithi hizo ujanani tunakamata mchuma na uzeeni tunakanyaga twende.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] Kama hukutumia vyema ujana wako, basi uzeeni huna cha kufaidi
a tree is known by its fruit
Hahahaha