Unaniangusha sasa, tangu nimeanza kuwafanyia watu usaili wewe ni mtu wa kwanza unajinyima sifa, wengine anajipiga masifa mengi mpaka unachanganyikiwa lipi ni la ukweliHuu nimeuotea tu,yaani kama umeniponyoka tu.
Huwa siko hivi chief.
Sana tu. Tuondoke wote sijakuwa off since day one.Umenielewa
That is a mileage.
Hope it is very real. Nisije nikatoa wishes famba.
BTW, your word is an insurance.
Sana tu. Tuondoke wote sijakuwa off since day one.
Nisubiri....twende sote
Yote heri. ..acha nizipokee tu
Nasubiri game ya Lakers vs GSW, hilo swala la anniversary tutalijadili kesho Mungu akijaalia.
Leo tuendelee na mengine.
Mimi huwa napenda hadi nabadilisha majina kwaajili yakeMke wa mtu [emoji23][emoji23][emoji23]
Uende na nani ? Na wapi ? Tulia hap hapo ulipo.
Haya mimi natangulia kama ukichelewa itanikuta kwa kejaTwende ukapumzishe Akili
Hakuna mjadala tena, tufunge kesiKajipange upya, hii kesi ilishaamuliwa na mahakama ya rufaa. Na uamuzi wa mahakama ya rufaa ni wa mwisho.
Na mimi nakukonyeza ila ficha watu wasione wenye hila ni wengiSawa sawa
Unaniangusha sasa, tangu nimeanza kuwafanyia watu usaili wewe ni mtu wa kwanza unajinyima sifa, wengine anajipiga masifa mengi mpaka unachanganyikiwa lipi ni la ukweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Nah wewe
Mbona unakabizi vifaa kienyeji hivyo umesaini dispatch bookWakubwa wa huu mji na viunga vyake,natoka kidogo,baadae. Lindo la leo limefana sana kwangu mimi ni la kupigiwa mfano lindo hili.
Vifaa vyangu vya kazi hivi hapa.