Hahaha ndio swagger zenu hizi [emoji1787][emoji1787]
umetishaa mpaka time hii hujavuta shukaaa!!8:08 Wakuu kuaga wakati lindo limealika maua ai uungwana nami wacha nilikabizi kwenu..
Duh ngoja nitafute kamusi ili nielewe [emoji16]8:08 Wakuu kuaga wakati lindo limealika maua ai uungwana nami wacha nilikabizi kwenu..
Washasanda wengine
mbona mapema sanaWashasanda wengine
hapana kwenda sahivi πππNakuambia kila siku usile mbegu unaendelea kusisitiza tu.
Ngoja nikureport Tanzania Farmers Association [emoji23][emoji23]
ππππsystem ipi tena iyoDuh kumbe huwa unaenda ku update system kabla ya kukucha? [emoji85][emoji85][emoji87][emoji86]
[emoji16][emoji16]hapana kwenda sahivi [emoji23][emoji23][emoji23]
inatakiwa unipe mwezi mmoja ili Nianze Kuacha mdogo mdogo
Time ya kuchaji simu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha we tuambie tu ukweli. Haitadhuru hata [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]system ipi tena iyo
si tunasemea kuchaji simu jamani
teh teh naunga mkono hojaπ....Hahaha we tuambie tu ukweli. Haitadhuru hata [emoji16]
Anatuficha ati [emoji23]teh teh naunga mkono hojaπ....
Hahahahah Huo Ndo ukweli, myb Kama unataka nidanganyeHahaha we tuambie tu ukweli. Haitadhuru hata [emoji16]