JamiiForums Usiku wa manane

Acha kunitisha nilikuwa sina mpango wa kusali,kwa lugha nyingi umenikumbusha kusali.
Sali. Waya mmoja tu ukikatika ni all the way down. Usafiri wa haraka na salama lakini wa hovyo sana likitokea la kutokea...

[emoji3591][emoji3591][emoji3591]Nakutakia safari njema mkuu na Hongera sana kwa kupanda ndege. Sisi wengine hiyo bahati sijui tutaipata lini....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…