Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,616
- 55,212
Tumekuham piaHellos...jamani hamjambo humu?????
Nimewamis sana humu jmn
Thad Kichwa Kichafu Mwifwa Maserati HB wa kigogo Nleterewa Nganengo Inna na wote jamani wakuu wa hii thread mpoooooo....nimewahamu sana kwa kweli9
Haina featuring?Nane 46.... damn nahesabu dakika tu sa tisa na 50 ifike nicheze movie hapa
Tumekuham pia
Wamepombeka si wajua weekend hiiKumbe wengi huwa hawapo muda huu eeeh.. mliopo macho pokeeni salam zangu mingi mingi
Mambo yangu yako poa, shemela hayupo leo?Mambo yako mkuu
Jiteke tuMleteeeeee mwambie nna hela na mapenzi mpaka natamani kujiteka
Yupo nimeshtuka usingizin yupo hapa pemben amelala..kuna shida kwani?Mambo yangu yako poa, shemela hayupo leo?
Yupo nimeshtuka usingizin yupo hapa pemben amelala..kuna shida kwani?Mambo yangu yako poa, shemela hayupo leo?
We jEi jiZ kwa hiyo mimi Niko kwa jamani auHellos...jamani hamjambo humu?????
Nimewamis sana humu jmn
Thad Kichwa Kichafu Mwifwa Maserati HB wa kigogo Nleterewa Nganengo Inna na wote jamani wakuu wa hii thread mpoooooo....nimewahamu sana kwa kweli9
Yupo nimeshtuka usingizin yupo hapa pemben amelala..kuna shida kwani?
Wewe upo kwa ile spesho list my dear...za masiku?We jEi jiZ kwa hiyo mimi Niko kwa jamani au
mkuu..kweli uko lindoniHakuna shida nilitaka kuhakikisha usalama wako
Msalimie ukimwonaSawa boss,,ngoja nifanye hivyo
Ndio mkuu kuhakikisha Mu wazima woteNiko salama
mkuu..kweli uko lindoni
Ndio mkuu kuhakikisha Mu wazima wote
Pamoja mkuu,,salama zimefikaMsalimie ukimwona
Karibu tenaAcha nilale naona mwenye mali anaanza kujigeuza geuza cjui kifwatacho baada ya habari hii. Nawatakia usingiz mwema na lindo jema hadi kokoriko