Upo? nakuonaga majogoo tu
Limepita hilo baba sema lingine
Hapa sisemi lingine,sababu huwa naongea kwa kituo....
Nikisema lingine nitakuwa muongo,mengine nitakufata PM tu....
Sawa baba
Leo nimewahi, kuna mechi yangu inaanza baada ya kama dakika 18.
Kama kuna kakaburi kako kamefukuliwa hivi na @mzigua90
Leo nimewahi, kuna mechi yangu inaanza baada ya kama dakika 18.
Hapa kama vile naota aisee,siamini kabisa... Ila kuna bro mmoja ananikumbusha kwamba alinipa tahadhari lakini anaona kama vile sielewi.
Naomba umtoe wasi wasi asiee au useme chochote kuhusu hili.
Sema lolote Mzigua90 sema lolote bibie ...
Leo nimewahi, kuna mechi yangu inaanza baada ya kama dakika 18.
Kama kuna kakaburi kako kamefukuliwa hivi na @mzigua90
Basi niandikishe darasa la jioni...wewe uende la asubuhi
Hata mimi naona...ila yote kheri.
Usiniambie unasubiria NBA ipi sasa?
Pistons au Magic?
Nashangaa katoa wapi wivu wakati mimi na yeye tuko kwenye open relationship. Tukirudi home ni mimi na yeye ila nje ya hapo kila mtu yuko huru
Thank you...
Itakuwa Magic, sasa hivi Cavs siyo wa kupotezea mtu usingizi.
Sasa kama hali halisi iko hivyo,wewe unanishauri nini ?
That one sounds cool. I will definitely do that.
Hapa kama vile naota aisee,siamini kabisa... Ila kuna bro mmoja ananikumbusha kwamba alinipa tahadhari lakini anaona kama vile sielewi.
Naomba umtoe wasi wasi asiee au useme chochote kuhusu hili.
Sema lolote Mzigua90 sema lolote bibie ...
Tuendelee tu
Karne ya 21 mbafukua makaburi?
Au mnatambika?