Aisee, shosti wako Thad sijui ametekewa pande gani, kuna dau nono huku limetangazwa tafadhali niasist nikilipata hakika na wewe utakua sehemu mgao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nitakupa....
Umechagua sehemu ya kuwekwa chip au njia itakayotumika kuweka chip (siku izi kiswahili kinanichanganya sana)Nachagua mimi....tushakubaliana
Anything from you is a blessing!
Unajua watumiaji wa hizo kitu wanavyo appreciate ukiwapa hiko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi huu ndo unaitwa ubani?
Naunga mkono hoja.Amepumzika leo..... SHIMBA YA BUYENZE awe na subira...kesho atakuwepo.
Umechagua sehemu ya kuwekwa chip au njia itakayotumika kuweka chip (siku izi kiswahili kinanichanganya sana)
Amen.Nishachagua...muhusika ataambiwa
Usikimbie bwana. Nafuta kauli yangu
Ukimaanisha wewe sio mmoja wao?
Na dau litakuwa offAmepumzika leo..... SHIMBA YA BUYENZE awe na subira...kesho atakuwepo.
Ni one of them, ila ni occasionally.
Ngoja niwashe wakwangu unisindikize ndotoni, kwa maana naona bawaba zimezidiwa na uzito wa mlango, nami sina budi kuziruhusu zijifunge.Hata mimi naona hivyo....
Na dau litakuwa off
Ngoja niwashe wakwangu unisindikize ndotoni, kwa maana naona bawaba zimezidiwa na uzito wa mlango, nami sina budi kuziruhusu zijifunge.
Alamsiki.
Done deal......
Umenikumbusha Rules za The Transporter 1 & 2 aliifanya Jason Statham.
- "Never change the deal"
- "No names"
- "Never open the package"
- "Never make a promise you can't keep"
Karibu tenaNilikuwepo.....Lindo Jema