Jamani usiondoke nairudishaUko sahihi kabisa. Na huku hamtaniona tena. Mpaka yna2 arudishe avatar yangu aisee. Yaani nimeona nikashtuka sana. Hata sikuulizwa. Roho imeniuma mno [emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 906729
tutakosa mapicha picha humu fanya umrudishieJamani usiondoke nairudisha
[emoji3][emoji3]tutakosa mapicha picha humu fanya umrudishie
uko poa lkn[emoji3][emoji3]
Naibadili
uko poa lkn
fresh naona ushatekeleza ombi kumbe u mwerevuNiko poa sijui wewe
Sitaki shimba awe mnyongefresh naona ushatekeleza ombi kumbe u mwerevu
safi na salama maana hiyo avatar unaweza kuwawekea dhamana wale walim wawili kule mkoani bukobaSitaki shimba awe mnyonge
[emoji23][emoji23]safi na salama maana hiyo avatar unaweza kuwawekea dhamana wale walim wawili kule mkoani bukoba
amini mkuu vp lkn ina mahusiano yoyote na ww[emoji23][emoji23]
Hapana mkuuamini mkuu vp lkn ina mahusiano yoyote na ww
mhh bas sawaHapana mkuu
Poa poamhh bas sawa
[emoji3][emoji3]
Naibadili
Sitaki shimba awe mnyonge
Siku hizi mvua hizi zinaleta usingiziMbona kimya? Walinzi wote mmekimbia malindo yenu ama?