Ukisikia uchochezi ndio huu![emoji23]Eti gari limesajiliwa Msumbiji, limeingia Tz kupitia mpka wa Kenya,
Dereva ni Mnigeria anaeitwa Obasanjo,
Lugha iliyokuwa inazungumzwa ni kilugha cha kusini mwa Afrika,
afu watekaji ni wazungu!
View attachment 905475
Mapema sana mana mi naingia misa ya kwanza kwahiyo ucwe hofuLifanyie kazi suala hilo kabla ya saa 2 asubuhi ili nisichelewe misa ya pili
Wazee wakukesha mpooo
Sasa mbona tutapishana?[emoji848]Mapema sana mana mi naingia misa ya kwanza kwahiyo ucwe hofu
Nitawahi kuja kukuchukua hilo lisikupe shida usafiri si upoSasa mbona tutapishana?[emoji848]
Huyo alipoteza pesa yake bure hao mawizard si ndo wameshindwa kujipatia 1blA man tried to rob a bank by paying $500 to a wizard to make him invisible...
Hapo sawaNitawahi kuja kukuchukua hilo lisikupe shida usafiri si upo
Morning chief!
Kweli mkuu ?Mkuu jana Thad alikutafuta mpaka Bhadolite hakukupata. Kwema lakini?
MPE msaada tafadhariHuyo alipoteza pesa yake bure hao mawizard si ndo wameshindwa kujipatia 1bl
Naskia umenitafuta mno baby mama njoo PMNiachie mchango wako kabisa kabla hujafika eneo la tukio
[emoji16][emoji16][emoji16] Maumivu yake sipati picha
Ati nini?NIMEKUBALI NITAWAITA SHEMEJI
Nimekubali nimekubali nimekubali nitamwita shemeji oh Nimekubali nimekubali nimekubali nitamwita shemeji Aah
Shemeji eeh
Shemeji shemeji eeeh Kiroho upande shemeji eeh shemeji shemeji eeh Kishingo upande
SHIMBA YA BUYENZE shemeji eeeh Nleterewa Nganengo shemeji eeeh
mgunga pori shemeji
HB wa kigogo shemeji
Mr Miller shemeji
dingimtoto shemeji
lucas mobutu shemeji
Zurri shemeji
mtu chake naye shemeji tu
Hata Dionize N naye ni shemeji yangu