Mmmh nina wasiwasi nawe mbona umeanza kupaza sauti kwa nguvu mwanzo ulikuwa unaongea kawaida[emoji23] [emoji23]
Achen hzo saa nyingine mtu anapitiwa
[emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nafrahi maana naelekea kukabidhi lindo ila sio sababu ya vyombo. Ningekua nishaanza kuimba nyimbo za kisukuma hapa
Ata walinzi wanaibiaga kusinzia bhna siku moja moja majambazi hujaga watu wakiwa macho mbonaUnajitetea eee, mlinzi unapitiwa vipi sasa si utauaw na majambazi
Mnaenda wap sasa[emoji23] [emoji23]
Hata mimi nakaribia kuondoka alfajiri tayari
Mlinzi anaesinzia huyo hakwenda course zetu za ulinzi.... Ukichagua kukaa macho usiku ni kukaa macho haswa sio una beepAta walinzi wanaibiaga kusinzia bhna siku moja moja majambazi hujaga watu wakiwa macho mbona
Muda wa kukabidhi lindo unakaribia, au wewe unaunganishaMnaenda wap sasa
Tunakuachia ufunge getiMnaenda wap sasa
Mkuu ushakuwa Oni Sigara sasa
Huo ndo ukweliMlinzi anaesinzia huyo hakwenda course zetu za ulinzi.... Ukichagua kukaa macho usiku ni kukaa macho haswa sio una beep
Alisinzia so anatafuta sababuHuo ndo ukweli
Tunastahili tuzo
Hata mimi nimeonaAlisinzia so anatafuta sababu
Hata wewe hongera sana tujipongeze usiku ulikuwa wenye amani hakukuwa na shida yoyoteFor sure
Haaahaha
Oni sigalla siku moja alizingua, alitoa tafsiri ya ngamia anaesemwa kwenye biblia, ile verse ya kwamba "ni rahisi kwa ngamia kupenya katika tundu la sindani ila si tajiri kuuona ufalme wa mbinguni" akawa anatoa tafsiri ya ngamia kuwa ngamia inamaana mbili.
Ngamia ni mnyama aishie jangwani ila pia ngamia ni kamba ngumu inayofungwa kwenye jahazi, na akamalizia kwa kusema ngamia anayesemwa ktk biblia ni ile kamba ya jahazi ambayo ni nene sana haiwezi pita ktk tundu la sindano.
Nikawaza kidogo nikaona mzee kaamua kutuongopia maana hata biblia ya kiinglish imeandika camel inamaana na camel inamaana nyingine ya kamba? Hapo ndo nikajua One Sigalla si mwanagenzi wa kweli.
Hata wewe hongera sana tujipongeze usiku ulikuwa wenye amani hakukuwa na shida yoyote