Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Wacha wee! Na mimi ngoja nimtafute wa kunyumba tubonge cha kwetuNilikua na muda mrefu sana sijaongea kikwetu nikapata fursa nikaona niitumie
Wacha wee! Na mimi ngoja nimtafute wa kunyumba tubonge cha kwetuNilikua na muda mrefu sana sijaongea kikwetu nikapata fursa nikaona niitumie
Wacha wee! Na mimi ngoja nimtafute wa kunyumba tubonge cha kwetu
[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya umemsahau eee ..ntaje nistajeYupi tena, mbona unataka kunitilia mchanga kwenye kitumbua changu? Ujue huyu keshanipa na kishika uchumba kabisa
Mtunzie siri mwenzako. Bahati hairudi mara 2[emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya umemsahau eee ..ntaje nistaje
Basi yeshee![emoji851][emoji23][emoji23][emoji23]unajifanya umemsahau eee ..ntaje nistaje
Asante kwa kunitetea mwayaMtunzie siri mwenzako. Bahati hairudi mara 2
Njoo nikunong'onezeMsipige kelele usiku kumetulia sauti inaenda mbali
Cha Nakapanya![emoji16]Cha wapi hicho
NimefikaNjoo nikunong'oneze
Kila la kheri jirani yangu. Ngoja nikukimbie usiku mwema.Asante kwa kunitetea mwaya
Nitakua napitia maybe naweza ambuliaCha Nakapanya![emoji16]
Mkuu upo Rwanda?23:03
Mkuu upo Rwanda?
Mkuu upo Rwanda?
Ngoja aje atujibu pengine magharibi hukoHata Rwanda tuko nao sawa