HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Umekumiss hadi ameamua kuvunja utaratibuUmezua kizazaa kipenzi, leo umeanza usiku wa matatu[emoji23][emoji23][emoji23]
Umekumiss hadi ameamua kuvunja utaratibuUmezua kizazaa kipenzi, leo umeanza usiku wa matatu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Umenitoroka [emoji102]
Umenitoroka [emoji102]
Nitakupiga faini[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Chezea utamu wa penzi jipya wewe? Mwacheni tu hubby wangu jamaniUmekumiss hadi ameamua kuvunja utaratibu
Anajua mwenyewe. Kaondoka kwa kunyata[emoji851][emoji851] kumbe? ...mmetorokana wapi?
Walinzi ndo tunaingia lindoni sasa hadi majogoo
Kula mema ya nchi jirani yangu.[emoji23][emoji23][emoji23] Chezea utamu wa penzi jipya wewe? Mwacheni tu hubby wangu jamani
Kula mema ya nchi jirani yangu.
[emoji1][emoji1][emoji1] asante sana, yupo njiani anakuja kasema nimshikie nafasiKaribu sana, umemwacha wapi SHIMBA YA BUYENZE?
Makubwaa kumbe penzi jipya[emoji23][emoji23][emoji23] Chezea utamu wa penzi jipya wewe? Mwacheni tu hubby wangu jamani
Yaishie hapahapa best[emoji23][emoji23]Makubwaa kumbe penzi jipya
[emoji5][emoji5] najua itakua ndani ya uwezo wanguNitakupiga faini
[emoji1][emoji1][emoji1] asante sana, yupo njiani anakuja kasema nimshikie nafasi
Na yule mwingine vpYaishie hapahapa best[emoji23][emoji23]
Nikiyakuta mtaa wapili nitajua ni wewe tu
Na yule mwingine vp
Yupi tena, mbona unataka kunitilia mchanga kwenye kitumbua changu? Ujue huyu keshanipa na kishika uchumba kabisaNa yule mwingine vp
Nilikua na muda mrefu sana sijaongea kikwetu nikapata fursa nikaona niitumieNiliwaona juzi mkibonga kinyantuzu hapa[emoji23][emoji23][emoji23]