Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,904
Typo zingine zinakujaga pabaya na kuharibu kila kitu [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]**** three options 'single' 'married' na 'widowed' na ndoa hamjafunga mnasogezana tu siku atakuwa sahihi
Mkuu hilo neno la kwanza umemaanisha au?[emoji848][emoji848]**** three options 'single' 'married' na 'widowed' na ndoa hamjafunga mnasogezana tu siku atakuwa sahihi
hapo ndio utajua huwa anasoma au anareadI walked into this police station to report an incident. I found this officer at the enquiries desk reading the Bible. And out of curiosity to test his biblical knowledge I asked him a question. "Sir, who killed Goliath?" His reply to me was..."Uliza sergeant Rono ndio anahusika na murder."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekukumbusha nini?Mimi nipo baina ya hizo hali mbili ulizozitaja. Hapo ndipo utakapo nijua mimi ni nani.
Ila umenikimbusha kitambo fulani huko nyuma.........
daaa aisee usiku huu mkuu, ngoja nirekebisheMkuu hilo neno la kwanza umemaanisha au?[emoji848][emoji848]
Ni typo. Sema tu imekaa pabaya [emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu hilo neno la kwanza umemaanisha au?[emoji848][emoji848]
Ila ikitokea nikalisahau utanikumbusha eeeh![emoji16]Nimefurahi kwa kauli yako hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muungwana ni vitendo[emoji122][emoji122][emoji122]daaa aisee usiku huu mkuu, ngoja nirekebishe
[emoji23][emoji23][emoji23]Ni typo. Sema tu imekaa pabaya [emoji16][emoji16][emoji16]
hahahaa[emoji1] [emoji1] nishaona mkuu, nime editTypo zingine zinakujaga pabaya na kuharibu kila kitu [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Ndio ila ukisahau tena nakupa adhabu. Kama ikitokea nikikupa adhabu wewe ungependa nikupe adhabu gani ?Ila ikitokea nikalisahau utanikumbusha eeeh![emoji16]
afanye kama hakuona vileNi typo. Sema tu imekaa pabaya [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisai hate end of the month..hakuna mtu hajuagi uko na pesa..
landlord
family & friends
thieves & enemies.
[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19]
Ujumbe umfikie popote alipoDear future wife ...unavyochelewa hunicheleweshi mimi [emoji41]tunawachelewesha watoto wetu kuanza shule[emoji81][emoji81]
Unipe adhabu ya kula kukuandalia sharubatiNdio ila ukisahau tena nakupa adhabu. Kama ikitokea nikikupa adhabu wewe ungependa nikupe adhabu gani ?