JamiiForums Usiku wa manane

Nimepokea taarifa,baadhi ya walinzi wanajisapia na vimada vyao wakati wa lindo, na kusababisha kuacha lindo wazi

Uongozi unasikititika sana kwa hali Iliyojitokeza hivi karibuni kwa baadhi ya watu kutozingatia maadili ya kazi yetu
 
Kama ni kweli inasikitisha sana hii ni hatari sheria kali ianzishwe na ianze kufanya kazi haraka iwezekanavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…