JamiiForums Usiku wa manane

Life ya kuishi kwa mzazi ilikua my worst experience.
Tumekaa sitting room na bro,akanyamba mzae akiwa bedroom akadhani ni mimi,kelele ilitoka hapo[emoji1430]

"We endelea kunyamba hata ukiweza hara...uko na nguvu ya kunyamba lakini ya kuhama huna"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…