Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,055
Mkuu hongera. Kuishi nje ni ndoto ya wengi especially mimiMontreal 17:05 (Jumamosi) Bongo 00:05 (Jumapili) haki ya Mungu kuna raha Bongo, yaani hata Kwenda kwa Mungu tunawatangulia hawa white ngozi!
[emoji11]Huu ni uvunjaji wa sheria[emoji53][emoji53][emoji53]
na sasa anaepafom ni msanii rubyLindo la leo linaendeshwa na Miss Tanzania Live
NasemajeWrite your reply...Nakagua Lindo
Write your reply...Nakagua Lindo
Mkuu mambo ya ma miss kumbe unafatiliaga.Wakuu ramli yenu inadondokea wapi?
Mimi naona Kinodndoni itavaa taji...
Nayaona live kupitia Youtubu.....Mkuu mambo ya ma miss kumbe unafatiliaga.
Aisee mimi yalinipita kushoto.Nayaona live kupitia Youtubu.....
Lindo niko oeke yangu Thad hayupo nasuuza macho kwa walimbwende wa TanzaniaAisee mimi yalinipita kushoto.
Napendaga tu mara chache kuona ma modo wa kike kweny channel ya fashion
Karibu
@Thad huyu huyu naemjua mimi ? Mkuu ujue mi natoka congo ,huogopi ?Lindo niko oeke yangu Thad hayupo nasuuza macho kwa walimbwende wa Tanzania
Hujalala tu ?nimekumiss