JamiiForums Usiku wa manane

Mimi wapo hapa jirani yangu sasa wanaanza asubuhi mpaka saa moja usiku basi vurugu
Utasikia" piga keleleee" tumuimbie yesu oh thank you jesus oh thank you jesus (usiombe mwanamke aseme haya maneno,ni majaribu unaeza kwenda kuchungulia )

Wanazingua sana.... unakuta mtu una shoo.... af wanakukata stimu na makelele zao
 
Kama kuna ******* saivi yanaimba, cjui kama wanajiskia kwa izo masauti....... sa kwa sauti mbaya kama izi mzuka unaachaje kukata.... apa ngoja nijiliwaze na jf kwanza...huenda nao wakaishiwa pumzi
Hahahaha nimecheka mno
Ila serikali ituamishie haya makanisa bora tubaki na misikiti tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…