Majukumu ya mchana yananichosha usiku misukule saivi ina mfanyakaziUtakuwa unaisaidia misikule ya mumeo kulima
Sa umeeka avatar ya boobs zote hzo akati ww bado una saa 3 sio saa 6[emoji3]
Lazima uchoke...kuipikia misukule ile mpaka ishibe si mchezo. Ndio maana umeota mpaka nyoyo [emoji12]Majukumu ya mchana yananichosha usiku misukule saivi ina mfanyakazi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] hatareeeUtakuwa unaisaidia misikule ya mumeo kulima
kwanini ukaokote mizoga nami niko hapa Thad?[emoji15] [emoji15] [emoji15] huyo wa kusombwa tu na mimi simtaki tena nimeghairi
Usinambie huyu ndo mdogo wangu Demiss?[emoji848]
Usinambie nimejiokotea dhahabu kariakoo![emoji848]
Nimeshazeeka nyonyo kama loteeSa umeeka avatar ya boobs zote hzo akati ww bado una saa 3 sio saa 6[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha acha tu hoiiiiLazima uchoke...kuipikia misukule ile mpaka ishibe si mchezo. Ndio maana umeota mpaka nyoyo [emoji12]
Hahahah ameamua kunizoom kabisaUsinambie huyu ndo mdogo wangu Demiss?[emoji848]
nimekupa nafasi ujue ushindwe wewe.Usinambie nimejiokotea dhahabu kariakoo![emoji848]
Mdogo wangu huyo mshana anakuzeesha, achana nae
Siwezi kuchezea shilingi kwenye tundu la choo ngoja nikamatie fursa
moyo wangu umedunda[emoji28] [emoji7] kwa furaha,Siwezi kuchezea shilingi kwenye tundu la choo ngoja nikamatie fursa
Hakuna mwingine anayeweza kunihimili kama yeyeMdogo wangu huyo mshana anakuzeesha, achana nae
mrembo umetinga kwa tabasamu taamu kulikoni[emoji1][emoji1]
Tatizo mnasema sisi wabaya haya wacha tuweke avatar mnazotaman tuwe nazo