Astelia
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 1,049
- 3,547
Vizuri
Hivi zile chipsi zangu nani kala?Nimepita nawasalimu jamaa zangu
Pole sana jaribu kufinya mishipa midogo iliyopo pembeni ya masikio kitapoa
Za kwako? Za tokea jana?
Unafinyanye Vinci ?Pole sana jaribu kufinya mishipa midogo iliyopo pembeni ya masikio kitapoa
Nzurii bbadeZa kwako? Za tokea jana?
Ukishaigusa ifinye kwa muda taratibuUnafinyanye Vinci ?
Hilo halina tatizo mkuu, nitakupa ratiba yote jinsi ya kuwork out mwili wako ili upate +ve results. Now niko sehemu mbayaNifundisheni na mimi mazoezi
Oyoooo mwanambeya mwenzangu karibu musoma huku, uje kabisa na panga lako ulinoe vizuri in case ikitokea nongwaaa [emoji23]Popozzzzzzzzzzz
Ila badooo tu uko online [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] ww ni popo OG kabisa
Nakua online kwa sababu ya notifications zina pop up kila mara... nikifungua ndiyo naonekana online...Ila badooo tu uko online [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] ww ni popo OG kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app